Thursday, 21 January 2016

Magufuli aonyesha umahiri wake katika utumizi wa charahani

Tazama Rais Magufuli alipotembelea baadhi ya Ofisi za Ikulu jana, na kuonyesha umahiri wake wa kutumia charahani.




SOURCE: East Africa Television (EATV)